Mawasiliano:

Kwa maoni, ushauri, malalamiko, kero na dukuduku la namna yoyote ile, tafadhali usisite kuwasiliana na Mkuu wa Kijiwe hiki kupitia:

uchambuzi@yahoo.ca

+255 713 412176

ASANTE NA KARIBU TENA

3 Comments Add your own

 • 1. Freddy Macha  |  August 29, 2007 at 2:23 am

  Msangi,

  Blogu yako safi sana. Hivi wewe na Jeff (harakati) au ni ndugu?
  Mi nahusudu unavyofafanua mambo na kuelezea kwa lugha fasaha inayoeleweka bila kuparaganya ama Kiswahili ama Kiingereza. Kaza uzi huo huo.
  Na kisa cha yule dada ama kweli kimetuacha hoi. Ninakuomba nisaidie kuwapa ndugu zake ile anuani niliyoiandika wiki jana kwa wafadhili wanaohusika na mada hizi wanaitwa Face the World.

 • 2. Said Michael  |  October 9, 2007 at 8:25 am

  Msangi:

  Blogu yako nzuri sana, nilipokuta maoni yako kwenye Blogu yangu nikaanza kazi ya kuitafuta ya kwako. Hatimaye jana katika kuperuzi mitandao mbali mbali nikaipata.
  nimeiweka Blogu yako pia kwangu HONGERA KWA KAZI NZURI

 • 3. Felix Uduo  |  May 31, 2008 at 5:04 am

  kwa kweli nilipenda sana hicho kichapo kaza tu kamba utafika bila matatizo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed