Kunihusu

Jina

Ramadhani Said Msangi

Nilizaliwa

Agosti 28, 1977 

Napendelea:

Kupika, Kupiga pasi, Kupanga nyumba iwe na mwonekano mzuri, Kusoma, Kuandika, Kutembea, Kucheza Volleyball, Kutozama soka na picha mbalimbali.

 Sipendelei:

Kuosha vyombo, kufua, kuvaa suti, kuchana nywele, kutandika kitanda, Watu wabishi, kuosha vyombo.

Siwapendi:

Watu wabishi

Naamini:

Ili dunia ikamilike, ni lazima wawepo Wajinga na Wapumbavu.

Mahusiano:

Sijaoa (Nina mtoto)

Mwanamke wa ndoto yangu:

Mrefu, wa wastani kiumbo, mwenye elimu ya wastani.

Mengineyo:

Niandikie kujua unalodhani ni muhimu ulijue kunihusu

4 Comments Add your own

 • 1. Kimori  |  November 28, 2007 at 7:22 pm

  Hello Msangi! Poe na kaiz yako ya habari. sasa ndugu nimesikia wewe uko Mbeya, vipi matukio ya mbeya? Je tukiwa na picha zinazohusu mbeya waweza kuzipokea na kuzi publish? tuitangaze basi mbeya bro! kazi njema.

 • 2. msangi  |  December 3, 2007 at 10:20 am

  Kimori, nashukuru ujumbe wako. Ni kweli niko Mbeya na napokea picha za namna yoyote ile ilimradi ziwe zinazingatia maadili yetu kama Watanzania.

 • 3. Felix Uduo  |  May 31, 2008 at 5:08 am

  Utapendaje kupika nakuosha vyombo hupendi? na utapendaje kupiga pasi na hupendi kufua? lalalalala, hiyo nikali sana lakini ni Poa!!!!!

 • 4. Dorrine  |  May 21, 2012 at 9:38 am

  nimeferahishwa sana na wewe kujua kufanya hata kazi za zingine kama kupika,kupiga pasi na vingine vingi ila hujanifurahisha kutokuvaa suti,kutandika kitanda wakaati huhuo unadaikuwa hujaoa nani anafanya kazi hizo good time

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed