HERI YA MWAKA MPYA

January 1, 2008 at 1:56 am 1 comment

Niliandika awali, siku chache sana kabla mie na wewe unayesoma hapa hatujauona, lakini midhali hivi sasa naamini tumeuona… si vibaya tukitakiana Heri ya Mwaka mpya wa 2008. Tumshukuru Mungu kwa wema aliotutende mwaka wa 2007, na kumuomba atujaze nguvu na kututia moyo kwa kila tunalofikiria kulitenda katika mwaka huu wa 2008

 HERI YA MWAKA MPYA….HAPPY NEW YEAR 2008

Entry filed under: maskani.

heri ya mwaka mpya wana Jukwaa la Uchambuzi wote Kuna haja ya chaguzi katika nchi za Afrika?

1 Comment Add your own

  • 1. AUGUSTUS FUNGO  |  January 1, 2008 at 12:08 pm

    Naam nakubaliana na wewe mia kwa mia,na kwa hali hiyo nazipokea salamu zako za heri kwa moyo mweupeeeeeeeeeeeee nami nikikutakia heri na mafanikio tele katika mwaka huu shufwa. Japo nawapa pole nd zetu wa kenya nawaombea kwa mwenyezi mungu awapokee kwenye nuru ya uso wake na awajalie waliohai amani na utulivu.serikali zetu zimeoza.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 35,058 hits
January 2008
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031