Archive for June 8, 2007

KOZI: Kuripoti umasikini vijijini

Taasisi inayojishughulisha na masuala ya habari ya NISA, ambayo imejikita sana katika kuwaongezea maarifa waandishi wa habari hususan wale wa nchi zilizoko kusini mwa bara letu la Afrika, imetangaza kozi fupi kadhaa, kwa wanaopenda kushiriki. Miongoni mwa kozi hizo ni ile ya namna ya kuripoti habari zenye kuhusiana na umasikini maeneo ya vijijini. Bonyeza hapa kuweza kupata fomu kwa ajili ya kozi hizo.

June 8, 2007 at 8:45 am Leave a comment


Blog Stats

  • 34,591 hits
June 2007
M T W T F S S
« May   Jul »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930