Muswada wa Habari ulioandaliwa na wadau

March 11, 2007 at 12:08 pm 1 comment

Hekaheka za wadau wa Habari nchini Tanzania, kukabana na wale wanaotaka kuinyongea mbali sekta hiyo muhimu, zinaendelea, tena kwa Kasi, Ari na Nguvu, kama zile wanazozitumia jamaa wanaotaka kuiua sekta hii. Katika kufanikisha hili, wadau wamekuja na mapendekezo yao ya Muswada, na bado wanakaribisha maoni zaidi ili kuuboresha. Usome muswada uliandaliwa na wadau, uko hapa.

Ule wa serikali vile uko sehemu gani jamani? Maana zile tovuti wanazotutajia kila siku zinakuwa ama hazipatikani, au hazina kitu hicho.

Entry filed under: maskani.

Ni kwa maslahi ya UMMA au maslahi ya NYUMA? Natafuta funguo

1 Comment Add your own

  • 1. ndesanjo  |  March 20, 2007 at 7:03 pm

    Usiwe na shaka. Uendelee kutuelimisha juu ya hizi aya za kidikteta wanazoziita muswada wa habari.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 34,787 hits
March 2007
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031