Archive for March 11, 2007

Muswada wa Habari ulioandaliwa na wadau

Hekaheka za wadau wa Habari nchini Tanzania, kukabana na wale wanaotaka kuinyongea mbali sekta hiyo muhimu, zinaendelea, tena kwa Kasi, Ari na Nguvu, kama zile wanazozitumia jamaa wanaotaka kuiua sekta hii. Katika kufanikisha hili, wadau wamekuja na mapendekezo yao ya Muswada, na bado wanakaribisha maoni zaidi ili kuuboresha. Usome muswada uliandaliwa na wadau, uko hapa.

Ule wa serikali vile uko sehemu gani jamani? Maana zile tovuti wanazotutajia kila siku zinakuwa ama hazipatikani, au hazina kitu hicho.

March 11, 2007 at 12:08 pm 1 comment


Blog Stats

  • 34,944 hits
March 2007
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031