SAFARI YA MWISHO YA MWAIBABILE

February 1, 2007 at 8:06 pm 3 comments

Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Adam Mwaibabile wakishuhudia mwili wa mwandishi huyo aliyefariki dunia juzi, ukiingizwa kaburini tayari kwa mazishi yake, yaliyofanyika katika makaburi ya Mianzini – Nzovwe, jijini Mbeya

Entry filed under: maskani.

Kazi ni Kazi tu bora mkono kwenda kinywani TUNAJIFUNZA KUTENGENEZA SHANGA?

3 Comments Add your own

 • 1. JaqueNgowi  |  February 5, 2007 at 10:11 am

  Aisee bro kwa kweli Blog yako inazidi kuboreka kila siku. Big Up Saaaaaaaaaaaaaaaaaana

 • 2. Anonymous  |  April 29, 2007 at 12:21 am

  wowwwww unajua sikujua huyu mwandishi wa habari katutoka, ila ni siku nyingi nilimsikia sana huyu mzee, ila mungu akulaze salama peponi,peace!!!!!!!!!!

 • 3. Rovina Mtui  |  December 17, 2008 at 2:03 pm

  Du! sikuwa namfaham sana huyu mwandishi,yaani ndo naanza kufuatilia habari zake,napata taarifa kuwa alishatangulia mbele ya haki.
  Mungu akulaze pema

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

 • 35,058 hits
February 2007
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728