Watalii wazalendo

June 23, 2006 at 6:45 pm 2 commentsInawezekana kabisa hata Mwaipopo ambaye ni kwao hajawahi kufika, lakini mimi mgeni nimepatembelea. Namaanisha kwenye kivutio kimoja wapo cha utalii kati ya vingi ambavyto viko Mbeya. Hicho ni Kimondo ambacho kinapatikana wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, ambacho naamini wenhi wetu tulijifunza wakati tuko mashuleni.

Entry filed under: maskani.

Ni kweli Prof. Charles Bwenge, lakini……….?? Makamba!! Yaani ni kaaazi kweli kweli

2 Comments Add your own

  • 1. Martha Mtangoo  |  June 28, 2006 at 11:55 am

    kaka shavu hilo duh!!!!!!!!!!!!!!! mbona hujawaambia wasomaji wako na kuwatambulisha hao ulioongozana nao katika safari hiyo ambayo ni sawa na kwenda kuitembelea Ikulu????????

  • 2. John Mwaipopo  |  July 11, 2006 at 4:54 pm

    Kwani umekosea? hapana hata kidogo. Hicho kimondo huwaga nakisikiaga tu. Kimondo tisa kiko mbali, kumi hata Msangi mdogo anayeishi hapa hapa manispaa (jiji) nilipo sijamtembelea tukanywa kahawa na kubadilishana fikra.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 34,787 hits
June 2006
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930