Mtanzania mwingine (sio mswahili) ajiunga kwenye Blogi

November 14, 2005 at 5:47 pm 1 comment

Kwa muda wa siku kadhaa sasa nimekuwa nikifuatilia zaidi masuala ya siasa, na hili likinifanya niwe mchoyo katika kuwakaribisha baadhi ya wadau wanaozidi kujisajili katika ulimwengu wa Blogi, lakini leo hii nimeona si vyema nikaendelea kukaa kimya baada ya kupata ujumbe toka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu, ambaye pia amekuwa miongoni mwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala yangu. Msome hapa Bw. Nyembo, japo kaingia na utamaduni ule ule wa kuleweshwa na lugha za wenzetu sijui anaamini kuwa kiswahili hakitoshi au vipi. karibu Bw. Nyembo.

Entry filed under: maskani.

Bongo Flava, Itikadi Finyu na Mitizamo haba….1 Kwa mara ya Kwanza………!!

1 Comment Add your own

  • 1. Anonymous  |  November 22, 2005 at 10:50 am

    Usiwe mchoyo Mdogo. Wanablogu wote ni familia moja. Je, kama nchi ingekuwa imejaa wanasiasa tu tungekuwa wapi?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 35,058 hits
November 2005
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930