Yaliyojiri kwenye Bunge la Vijana …1

July 16, 2005 at 11:55 am 5 comments

Kulikuwa na mambo mengi sana ambayo tulijadili katika kikao chetu kilichofanyika kati ya Julai 8-10, jijini Dar es salaam. Hata hivyo jambo la msingi kabisa ambalo lilijiri ni uzinduzi wa Ajenda yetu vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2005. Isome ajenda hiyo hapa, pamoja na baadhi ya nukuu muhimu sana ambazo zilijiri wakati wa kikao kizima. Soma nukuu za mkuu wa Chuo kikuu cha Mzumbe, Bw. Ibrahim Kaduma, ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi huo hapa. Pia soma nukuu za vijana wenyewe wakati wa kikao hicho hapa.

Entry filed under: maskani.

Hapo zamani za Kaaaaaaale hali ilikuwa hivi!! Kauli ya Vijana kuelekea Uchaguzi wa mwaka 2005

5 Comments Add your own

 • 1. Indya Nkya  |  July 16, 2005 at 1:49 pm

  Tunashukuru kwa taarifa hizi muhimu sana. Endeleza mapambano.

 • 2. Anonymous  |  July 17, 2005 at 5:42 pm

  frja katotoo

 • 3. Anonymous  |  July 18, 2005 at 5:49 pm

  @frja katotoo, all you need to do on the choose an identity option is to select OTHER then you write your name and your comments. Keep in touch

 • 4. Blog Reader  |  July 18, 2005 at 5:52 pm

  @frja katotoo, all you need to do on the choose an identity option is to select OTHER then you write your name and your comments. Keep in touch

 • 5. Zainab Yusuph  |  July 19, 2005 at 10:52 am

  Mh.Mbunge hapa unaonekana ulikuwa umefurahi sana sijui ulikuwa umeahidiwa nini na wananchi katika uchaguzi ujao, au uliambiwa utashinda kwa kimbunga? kila la gheri katika kutetea jimbo lako.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

 • 35,058 hits
July 2005
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031