Kuelekea Kongamano la BlogHer ’05

June 8, 2005 at 2:30 pm Leave a comment

Kuna wakati niliandika kuhusu Konamano kubwa kabisa kuwahi kufanyika katika historia ya Ulimwengu wa Blogi, Kongamano ambalo linawahusu akina mama wenye kublogi linaokwenda kwa jina la BlogHer Conference, ambalo linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu katika jiji la Santa Clara, nchini Marekani.

Napenda kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa maandalizi kwa ajili ya konamano hili yanaendelea vizuri kwa mujibu wa taarifa za waandaaji wake. Kwa wale ambao wanapenda kufuatilia maendeleo ya maandalizi kwa ajili ya kongamano hili, kuchangia mambo mbalimbali kwa ajili ya kulifanikisha na mengineyo mengi kuhusu konamano zima kwa ujumla, wanaweza kuzipata taarifa mbalimbali kupitia viunganishi hivi:- Media Girl, BlogHer na pia Blogsheoes.

Pia kupitia iunanishi hii unaweza kupata namna ya kupata maelezo zaidi kwa ajili ya kongamano hili na namna ambavyo wewe unaweza kushiriki moja kwa moja katika kueneza ujumbe wa kongamano hili. Je Tanzania na Waafika tunao-Blogi tutarajie nini kutokana na kongamano hili? Bilashaka ni suala la kusuiri tu kwa maana hakika manufaa yake ni makubwa na tutayashuhudia bila kuelezwa.

Entry filed under: maskani.

Mambo Motomoto Ukumbi wa Vijana Kuelekea Kongamano la BlogHer ‘05

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 34,787 hits
June 2005
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930