Maendeleo makubwa ulimwengu wa TEKNOHAMA.

May 19, 2005 at 11:20 am 1 comment

Ninachomaanisha hapa ni Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ndugu zangu. hakika ni juhudu kubwa sana ambazo zimekuwa zikifanywa na Watanzania katika kuhakikisha kuwa walau tunaongeza kasi ya kuwafukuzia wenzetu ambao tayari walishatutangulia maili kadhaa siku zilizopita. Baada ya kuwepo kwa Watanzania kadhaa ambao wamekuwa wakiblogu katika lugha ya Kiswahili, hivi sasa wameamua kuanza kubobea zaidi kwa kutumia lugha za makabila ya Kitanzania. Kwa kuanzia, yupo binti aliyeko Marekani, ambaye ameamua kublogu klwa kutumia lugha ya Kichaga. Huyu ni ANNETH ASSENGA. Hebu msome hapa

.

Entry filed under: maskani.

Maendeleo makubwa ulimwengu wa TEKNOHAMA. Jamani kuna watu kweli hamnazo

1 Comment Add your own

  • 1. ELLY MSUYA  |  May 23, 2005 at 10:27 am

    wawa Ngoja kwanza nianze kufagiliaa kwa kichaga kwa kuwa aliye anzaa kuandika kiluga ni Mtani wangu weee omiiiii Jamani anasahaili pongezi manaa unajuwa tena wenzetu mbona wanatafsiri katika Lugha zao siunajuwa ena unapandishaia chati na watu wanaanza kujuwaa kuwa he kumbe kuna kabila hili ulimwenguni na kufanya watu wawe na hamu yakujuwaa je hawa watu ni wa aina gani wako wapi na mambo kama hayoo du sasa nisadiee kuwambiaa huyo Binti kuwaa jaribu kufagilia kuwa hata anapotoka yani mkoani kwake ndio kuna kilima Kiaro (Kilimanjaro)

    Hiyo yawesa leta watalii atii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 35,058 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031