Timua timua ndani ya Simba na Yanga na hatima ya soka la Tanzania

May 11, 2005 at 1:26 pm Leave a comment

Limekuwa ni jambo la kawaida sasa na wanachama wanaonekana sio tu kuikubali hali hii bali pia kuishabikia tena kwa nguvu zao zote zile walizonazo. Nazungumzia migogoro ndani ya vilabu mahasimu katika soka la Tanzania, yaani Simba na Yanga. Kwa hawa jamaa zetu, mafanikio ya soka ndani ya vilabu vyao ni mmoja kumfunga mwenzie, kama ambavyo kudorora kwa mmoja wao ni kufungwa na mwingine, hata iwe namna gani ikitokea hivi uongozi uliopo haunusuriki hata siku moja na kama huamini hebu soma hapa ujue yaliyojitokeza mtaa wa Jngwani (makao makuu ya Yanga), baada ya kufungwa 2-1 na Simba mwezi April mwaka huu.

Entry filed under: maskani.

Timua timua ndani ya Simba na Yanga na hatima ya soka la Tanzania Maendeleo makubwa ulimwengu wa TEKNOHAMA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 35,058 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031