Wasomi wetu na dhana za Kizungu
May 7, 2005 at 10:52 am 1 comment
Katika kona yangu ambayo awali nilikuwa nimeipa jina la hoja motomoto na kuibadilisha kuipa jina la Darubini yangu, nimeingiza makala moja ambayo inahusiana na mjadala ambao umekuwa ukizuka na kufifia mara kwa mara juu ya lugha gani Watanzania tunaweza kuitilia mkazo katika mitaala yetu ya kielimu. Soma hapa ujue mawazo yangu kabla ya kunipa maoni yako kuwa unaonaje?
Entry filed under: maskani.
1.
Anonymous | May 7, 2005 at 12:48 pm
makala safi sana.