Karibu Tanzania

May 7, 2005 at 8:35 pm 4 comments

Kuna mmoja kati ya wasomaji wangu aliye Canada ambaye aliniuliza kuwa ni namna gani anaweza kunipata pamoja na kuhitaji pia kutambua vizuri Tanzania iki namna gani. Kwa manufaa yake yeye binafsi pamoja na wengine wote ambao bado walikuwa hawaijui vyema Tanzania, nimeanzisha kolamu maalum kwa ajili ya kuwawezesha wasomaji wangu kutambua baadhi ya mambo ya msingi kuhusiana na nchi yangu. naamini kuwa wakishamaliza kusoma hapo watakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kuja nitembelea au hata kutalii Tanzania. Karibuni Tanzania

Entry filed under: maskani.

Karibu Tanzania Wataalamu watusaidie

4 Comments Add your own

 • 1. kiko  |  May 7, 2005 at 8:42 pm

  Não percebo nada do que está aqui escrito, mas parece-me uma língua muito melodiosa!

 • 2. akiey  |  May 8, 2005 at 5:23 am

  Nimefurahia sana blogi yako na mada zake za kuvutia. Umefanya vyema kuamua kufahamisha watu kuhusu Tanzania kwani vyombo vya habari vya ng’ambo vimejaa porojo tu kuhusu bara Afrika.

  Lo, hata huyo hapo juu asiyeongea Kiswahili asema amependezwa sana na lugha hii:))
  Makuu haya, hata kama ameandika Kireno cha Brazil

 • 3. Anonymous  |  May 8, 2005 at 8:13 pm

  Hapa umecheza. Hongera. Nadhani bodi ya utalii itabidi wakulipe!!!!!!!!

 • 4. msangimdogo  |  May 9, 2005 at 10:23 am

  @anonymous
  Thubutu, wangekuwa na hela za kulipia wangeshatangaza utalii tulio nao zamani sana, inabidi kujitolea kwa mapenzi yetu kuitangaza nchi yetu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

 • 34,787 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031