Archive for May 7, 2005

Wataalamu watusaidie

kama kuna jambo la maana kabisa ambalo wataalamu wetu wa Afya katika ukanda huu wa nchi za Afrika Mashariki na Kati, wanaloweza kutusaidia kwa wakati huu, bilashaka ni kutueleza kuwa huyu Mama Kibaki ana matatizo gani ya kiakili maana kila kukicha amekuwa akizusha mapya nchini kwake, likiwemo hili

May 7, 2005 at 8:40 pm Leave a comment

Karibu Tanzania

Kuna mmoja kati ya wasomaji wangu aliye Canada ambaye aliniuliza kuwa ni namna gani anaweza kunipata pamoja na kuhitaji pia kutambua vizuri Tanzania iki namna gani. Kwa manufaa yake yeye binafsi pamoja na wengine wote ambao bado walikuwa hawaijui vyema Tanzania, nimeanzisha kolamu maalum kwa ajili ya kuwawezesha wasomaji wangu kutambua baadhi ya mambo ya msingi kuhusiana na nchi yangu. naamini kuwa wakishamaliza kusoma hapo watakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kuja nitembelea au hata kutalii Tanzania. Karibuni Tanzania

May 7, 2005 at 8:35 pm 4 comments

May 7, 2005 at 8:35 pm Leave a comment

Wasomi wetu na dhana za Kizungu

Katika kona yangu ambayo awali nilikuwa nimeipa jina la hoja motomoto na kuibadilisha kuipa jina la Darubini yangu, nimeingiza makala moja ambayo inahusiana na mjadala ambao umekuwa ukizuka na kufifia mara kwa mara juu ya lugha gani Watanzania tunaweza kuitilia mkazo katika mitaala yetu ya kielimu. Soma hapa ujue mawazo yangu kabla ya kunipa maoni yako kuwa unaonaje?

May 7, 2005 at 10:52 am 1 comment

May 7, 2005 at 10:52 am Leave a comment

Blog Stats

  • 34,786 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031