Hatimaye moshi wa kijani wafuka Dodoma

May 5, 2005 at 11:17 am 2 comments

Kwa hakika kikao cha ‘Baraza la makadinali wa CCM’, kilichokutana kwa muda wa siku tatu mjini Dodoma, kimefanikiwa kumpata ‘Papa’ wao, ambaye atakiongoza chama hicho kuibuka, kwa mara nyingine tena, na ushindi wa kishindo, katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2005. Soma hapa kumjua huyo ‘Papa mtakavitu’. Ikiwa unalolote unalopenda kujadili kuhusu mshindi huyu, bilashaka wakati ni huu, karibu tumjadili.

Entry filed under: maskani.

Hatimaye moshi wa kijani wafuka Dodoma Ushindi wa Kimbunga na dhana ya Mizengwe

2 Comments Add your own

 • 1. Kessy Inno.  |  May 6, 2005 at 5:26 pm

  Kweli moshi ulifuka na tumempata bila shaka raisi wa kufaa.Mimi nilitabiri katika makala yangu wiki jana eti Sumaye angeshinda lakini wapi.
  Hebu niaelezwe ilikuwaje akashindwa au mizengwe?

 • 2. msangimdogo  |  May 6, 2005 at 6:44 pm

  @ Kessy Inno.
  Ndugu yangu, hakuna mizengwe katika dunia hii, tatizo kubwa ambalo linatukabili Watanzania ni kwamba hatuna utaratibu wa kuelezana ukweli pale inapobidi tufanyiane hivyo. Kama kuna vitu ambavyo Mwalimu aliwahi kufeli enzi za uhai wake ndani ya chama, basi hili linaweza kuwa moja wapo. Kushindwa kujenga mfumo mzuri wa kuelezana ukweli pale inapotakiwa. na matokeo yake unajua yalikuwa ni nini kaka? Neno MIZENGWE. Kwa faida yako na ya wengine nimeamua kuandika makala kuhusiana na hili naamini ukiisoma utanielewa ndugu yangu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

 • 35,058 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031