Dunia bwana !!!!!

May 2, 2005 at 11:28 am Leave a comment

Bwana Ndesanjo Macha, amemwita kama mtu aliyechanjiwa kejeli na hakika hata mimi nakubaliana naye, japo kama kungekuwa na neno lenye kumaanisha zaidi ya hapo bilashaka hilo ndilo lingemfaa.

Inawezekana kabisa kuwa alifanya jambo hili kwa kujifurahisha au sehemu ya vituko baada ya kukosa kazi ya kufanya, lakini unajua kuwa kejeli yake ilipokelewa kwa namna gani? Bonyeza hapa ujue jinsi hata BBC walivyoweza kuhadaika na huyu jamaa.

Na unamjua mtu mwenyewe ni nani hasa hasa, hebu soma hapa ujue yeye mwenyewe ni nani, japo ni kwa maelezo yake ambayo pia yanaweza yakawa ni sehemu za kejeli zake kwa maana sio ya kweli.Ama kweli kuna watu hamnazo duniani!

Entry filed under: maskani.

Dunia bwana !!!!! Moshi bila damu?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Blog Stats

  • 35,058 hits
May 2005
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031