Archive for May, 2005

Mambo Motomoto Ukumbi wa Vijana

Makala hii itakuwa ni moja kati ya kazi zangu nyingi sana ambazo zitakuwa zikiwagusa kwa undani sana vijana (wenzangu wa CCM, wanajua namaanisha hadi umri gani), kuhusiana na maisha yao ya kila siku na hasa katika harakati zao za kila siku za kupambana na gonjwa harati la UKIMWI.
Pamoja na mambo mbalimbali yatakayokuwemo katika kona hii, pia katika siku za karibuni utaweza kukutana na historia yangu kwa undani kiasi chake na nini hasa nimeweza kufanya katika harakati za kupambana na ukimwi. Je wajua kwanini niliamua kwenda kupima na unajua kuwa matokeo yangu yalikuwaje?, Basi kaa tayari kwa ajili ya kusoma kazi hii hivi karibuni.
Wakati tukiwa tunasubiri kwa hamu kazi hii, naomba tuendelee na kazi ambazo ziko tayari tukianzia na hii hapa.

5 comments May 31, 2005

Add comment May 31, 2005

MKUKUTA, MUHUMA, kitafuatia nini??

Duh, kwa ubingwa wa kuanzisha miradi na kuipa majina ya kuvutia kutamkwa, Watanzania hatujambo hakika. Awali tulikuwa na MKUKUTA na sasa tuna MUHUMA, sijui utafuata upi katika siku za karibuni.

1 comment May 26, 2005

Add comment May 26, 2005

Takrima Ni Kivuli cha Rushwa

Hii ni kazi mpya ambayo inapatikana katika kona yangu ya Mambo Mseto. Soma zaidi hapa

Add comment May 26, 2005

Previous Posts

Bango la Matangazo & Wazo mahususi

Blogi Nyingine

Blogi za Katuni

Blogi za Picha

Malavidavi!

Mapishi

Mavazi & Mitindo

Vyombo vya Habari

wageni

Webu mseto

Blog Stats

May 2005
M T W T F S S
« Apr   Jun »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  

Archives

Meta

Pages